Moki Samh

Moki Samh I'm a dedicated freelancer who helps businesses and individuals turn ideas into high-quality results.

Adui alikuwa Arsenal lakini naona ashatuweza🤣😂 WitBiker Nairobi   – I just got recognized as one of their top fans!
24/05/2026

Adui alikuwa Arsenal lakini naona ashatuweza🤣😂 WitBiker Nairobi – I just got recognized as one of their top fans!

15/05/2026

This is how CDC Performers did it during our Graduation ceremony

# my page please

Orphans watching you celebrate mother's day 😭😌
11/05/2026

Orphans watching you celebrate mother's day 😭😌

🤣🤣Ushawahi ingia choo za kanjo kweli🤗. Yani unajipta unacheka badala ya kushughulikia haja😃. Ukiface ukuta unasoma maand...
10/05/2026

🤣🤣Ushawahi ingia choo za kanjo kweli🤗. Yani unajipta unacheka badala ya kushughulikia haja😃. Ukiface ukuta unasoma maandishi ya kiajabu k**a😎:
1. Umerudi tena?😇 Wah, si unapenda kukunia😅😅.
2.Unafunga mlango nan amekuambia anataka kuiba mavi yako☺.
3. Wewe endelea tu kukunia tu watu wengine wakitafuta pesa uko nje🤔🤔.
4. Unakunjia nani sura? Nani alikuambia kula githeri inakaa kokoto lunch🙂.
5. Aiii! 🤕Ata wew umezidi, kwani huchokangi kukunia.
6. Ungetia bidii hivyo ukiwa shuleni si ungekuwa mbali aki😑.
7. Na si unajua kupima 90° ndani😕, ungefanya hivyo hesabu kwa shule ungekuwa unatembea na gari sai.
8. Kwani unaenda na mboga kwa choo ama hiyo majani ni ya nini chooni?😄😂😂🤣🤣🏃🏃🏃🏃💔

Who was the Author of this book titled 'Kigogo'?
09/05/2026

Who was the Author of this book titled 'Kigogo'?

‎Aliniambia hajawahi ona mountain so mi nikamlima.🤣‎Ukifanya kazi ya vioo Huwa unajiona sana😂‎Kama kwa wameru ni CAR MOR...
01/05/2026

‎Aliniambia hajawahi ona mountain so mi nikamlima.🤣
‎Ukifanya kazi ya vioo Huwa unajiona sana😂
‎Kama kwa wameru ni CAR MORE, kwa wakamba ni KEY NO.,Kwa waluhya ni?
‎Ukikaa sana bila kukojoa ndivo utakaa sana ukikojoa?🤣🤣
‎Mtu mwenye amesimama mbele Yako, ndiye amesimama mbali sana na wewe kutoka nyuma🤭😲🤣
‎Ukitupa k**awe kwa lake, wewe ndo utakuwa mtu wa mwisho kuguza hako k**awe mpaka mwisho wa Dunia.😏😉😜

Follow page...to be continued....

😭😭😭💔One day There will be a tent ⛺ at home full of church members,😔💔 Pastor opening bibles📖💔, Opening Verses💔😔😭The night...
01/05/2026

😭😭😭💔One day There will be a tent ⛺ at home full of church members,😔💔 Pastor opening bibles📖💔, Opening Verses

💔😔😭The night will be long, People will be singing 😭🤞😔💔...The next day they will bring the coffin to the tent😔💔I will be inside, quiet and not feeling any pain 💔🙅My family and friends will be forced to see me for the last time 😔🤞⚰️

My sisters and brothers will be crying 😭. My friends will also be Crying 😭 Relatives will give them water to drink... Neighbours will be talking about how Sweet, kind, Caring and Respectful I was⚰️💔😔My friends will be talking about the things We did💔😔⚰️..The plans We Had😔💔

I will be taken to the Graveyard ⚰️😔..The pastor will read the Bible 😔📖 Again Then say"Ashes to Ashes,dust to dust"By that time they will be singing...
Mmmmmmhmm..mhhhhmmmm.😔⚰️The coffin will be going down slowly ⚰️💔

Those I used to make jokes with will never hear my voice again 😔💔⚰️🤞
Will never laugh at my jokes again 😔💔 Those I used to text with will never receive my messages again 😭💔🙅 Those I used to Love will never feel my Love Again 😭🤞💔. My time on earth will have ended and i will never come back again😭😭

Let's celebrate each other now when we are still alive even before we rest in peace🙏🙏🙏🙏

Dear reader💞💞
I might not know you, ✋☺
But I wish you the best in life. ☺

Wamesema hizi ndizo za safari ya Singapore hata k**a bei ya mafuta iko juu. Pin namba zote😂🤣
18/04/2026

Wamesema hizi ndizo za safari ya Singapore hata k**a bei ya mafuta iko juu. Pin namba zote😂🤣

Haijaisha bado. Hio beef bado inaendelea, Sikuogopi🤣
18/04/2026

Haijaisha bado. Hio beef bado inaendelea, Sikuogopi🤣

Sikatai jana ulinipiga lakini leo nmekutumia Ankooo💔
18/04/2026

Sikatai jana ulinipiga lakini leo nmekutumia Ankooo💔

A Pin by _misosoup

18/04/2026

Address

Mui
Nairobi
90200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moki Samh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share