Pauline Antper's millimo

Pauline Antper's millimo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pauline Antper's millimo, Mobile Phone Shop, kariokoo gerezani, Dar es Salaam.

Tunatibu magonjwa mbalimbali ikiwemo mgandamizo wa damu (blood pressure) karibu tukuhudumie kwetu suluhisho lipo wasiliana nasi kupitia simu namba Wa.Me/255710262811

*MATATIZO YA MAGOTI**1. MAANA:*  Matatizo ya magoti ni hali yoyote inayosababisha maumivu, kuvimba, kutojiendesha vizuri...
10/08/2026

*MATATIZO YA MAGOTI*

*1. MAANA:*
Matatizo ya magoti ni hali yoyote inayosababisha maumivu, kuvimba, kutojiendesha vizuri au kulemaa kwa magoti. Haya yanaweza kuwa ya ghafla (ajali) au ya muda mrefu (magonjwa ya viungo).

*2. CHANZO:*
- *Maumivu ya mifupa (arthritis)*
- *Majeraha ya misuli, mishipa au neva* (ligament tears โ€“ ACL, MCL)
- *Kuvimba kwa neva au majimaji* (bursitis)
- *Magonjwa ya kuharibu mifupa* k**a osteoarthritis
- *Uzito mkubwa wa mwili* unaobeba mzigo mkubwa kwa magoti
- *Mazoezi makali bila maandalizi*
- *Kuzeeka* (mifupa na viungo kulegea)
- *Maambukizi (septic arthritis)*

*3. DALILI:*
- Maumivu ya mara kwa mara au ya ghafla
- Kuvimba kwa goti
- Ugumu wa kupinda au kunyoosha
- Kuskika sauti (mlio) unapopinda goti
- Kukosa nguvu au kutetemeka kwa goti
- Goti kufunga (locking) au kushindwa kujiendesha
- โ Upungufu wa virutubisho mwilini mfn Glucaamin n.k

*4. MADHARA:*
- Kulemaa kwa mguu
- Kupungua uwezo wa kutembea au kufanya kazi
- Maumivu ya muda mrefu n.k

K**A UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI WASILIANA NASI SASA

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ0710262811

TIBA YA MAUMIVU YA MGONGO ,KIUNO  MIFUPA, MIGUU ,NYONGA NA MAUNGIO ,MENGINEYO BILA MADHARA Bila shaka umesha msikia ndug...
01/07/2026

TIBA YA MAUMIVU YA MGONGO ,KIUNO MIFUPA, MIGUU ,NYONGA NA MAUNGIO ,MENGINEYO BILA MADHARA

Bila shaka umesha msikia ndugu yako,wewe mwenyeme , rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuugua tatizo la GAUTI, kuuma kwa MAUNGIO k**a MAGOTI ( knee joint) , NYONGA ,BEGA , (shoulder joint ) KIUNO na MGONGO . wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya kisigino ( Ankle joint)

Watu wengi wana sumbuliwa na matatizo ya viungo (MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%

Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao snynovial fluid ambao kazi yake ni kulainisha joints, pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho cartilage ( gegedu) ambayo kazi yake ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salama salimini

TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS (OA) hutokea pale ambapo gegedu kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

CHANZO CHA TATIZO kula sana vyakula vyenye uric acid k**a nyama nyekundu
umri mkubwa
.uzito mkubwakuumia kwa kupata ajalikurithi( genesis) wafanya mazoezi / wana michezo

MATIBABU

KUNAVIRUTUBISHO

Ni vya asili vimetengenezwa kwa kutumia madini,mimea,matunda na mboga mboga
Huongeza ute ute kwenye maungio na kuziponya cartilage au sponji zinazozuia mifupa kusagana na huondoa maumivu maungio kabisa

Huongeza GLUCOSAMINE ambayo huunda upya cartilage ( sponji zinazounda mifupa isisagane

Huongeza GLUCOSAMINE ambayo huunda upya cartilage

Huongeza chrondroitin ambayo hutumika kutengeneza ute ute kat ya maungio

Huondoa kabisa maumivu ya maungio yaliyokithiri.

Nimewasaidia watu wengi wenye changamoto hii na wamepona kabisa wasiliana na nasi kwa namba

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ0769695385/0710262811

๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—”  ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ข๐—ฆ๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—ฉ๐—จ ๐—ฌ๐—”ยฐ ๐—ก๐—ฌ๐—ข๐—ก๐—š๐—”ยฐ ๐—ž๐—œ๐—จ๐—ก๐—ขยฐ ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—š๐—ข ๐—ก๐—” ยฐ ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข (๐—๐—ข๐—œ๐—ก๐—ง๐—ฆ)๐Œ๐’๐‡๐€๐”๐‘๐ˆ: ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ...
01/07/2026

๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ข๐—ฆ๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—ฉ๐—จ ๐—ฌ๐—”
ยฐ ๐—ก๐—ฌ๐—ข๐—ก๐—š๐—”
ยฐ ๐—ž๐—œ๐—จ๐—ก๐—ข
ยฐ ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—š๐—ข ๐—ก๐—”
ยฐ ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข (๐—๐—ข๐—œ๐—ก๐—ง๐—ฆ)

๐Œ๐’๐‡๐€๐”๐‘๐ˆ:

๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฃ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—ฉ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐—ก๐—ข ๐—ก๐—” ๐—ก๐—ฌ๐—ข๐—ก๐—š๐—” (๐— ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—จ๐—ท๐˜‚๐—บ๐—น๐—ฎ) ๐Ÿ‘‡
โœ๏ธ Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
โœ๏ธ Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
โœ๏ธ Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
โœ๏ธ Mawazo (stress).
โœ๏ธ Kulala kwa muda mrefu
โœ๏ธ Matumizi mabaya ya mto.

๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—ฉ๐—จ ๐—›๐—”๐—ฌ๐—ข ๐—ก๐—œ ๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—™๐—จ๐—”๐—ง๐—”๐—ฌ๐—ข ๐Ÿ‘‡
โ˜˜๏ธ Hupelekea miguu na mikono kufa ganzi na kuwaka moto
โ˜˜๏ธ Hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
โ˜˜๏ธ Hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
โ˜˜๏ธ Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.
โ˜˜๏ธ Inaweza kusababisha mtu kupata Kansa ya Mifupa na kusababisha kifo k**a Tatizo halijaondolewa mapema.

๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” (๐™๐ˆ๐๐†๐€๐“๐ˆ๐€) โœ๏ธ
Habari njema ni kwamba baada yakufanya Utafiti wa kina kwa Muda mrefu sasa tiba imepatikana Tiba ya uhakika na Waliopata Bahati ya kuitumia 97% Wamepona Kabisaa Changamoto za Mifupa na Maungio ๐Ÿ™

๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ
Tembelea Ofisi Zetu Zilizopo Nchi Nzima au Tupigie Sasa Kupitia

โ˜Ž๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ0769695385 // 0710262811
WA.me/+255710262811

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo๐ŸŒฟ Mifupa Ku...
30/06/2025

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*
๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo
๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
๐ŸŒฟ Mifupa Kusagana
๐ŸŒฟ Miguu Kuwaka Moto
๐ŸŒฟ Kuhisi Ganzi
๐ŸŒฟ Maumivu ya Shingo, Kiuno
๐ŸŒฟ Kukosa Uteute kwenye Magoti
๐ŸŒฟ Kushindwa Kutembea n.k

๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” (๐—ข๐—˜๐—ง๐—˜๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—ฆ๐—œ๐—ฆ) ๐Ÿ‘‡
โœ๏ธ Magonjwa ya figo.
โœ๏ธ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
โœ๏ธ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
โœ๏ธ Anorexia uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

๐—”๐—ง๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ€ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
๐Ÿ€ Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
๐Ÿ€ Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
๐Ÿ€ Ulemavu wa Kudumu
๐Ÿ€ Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
๐Ÿ€ Kifo ๐Ÿ˜ฅ

๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ

โ˜Ž๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0710262811 au 0759212263

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo๐ŸŒฟ Mifupa Ku...
30/06/2025

*๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” MAGONJWA YA ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข๐Ÿ‘‡*
๐ŸŒฟ Kusagika kwa Pingili za Mgongo
๐ŸŒฟ Maumivu Makali ya Kiuno na Mgongo
๐ŸŒฟ Mifupa Kusagana
๐ŸŒฟ Miguu Kuwaka Moto
๐ŸŒฟ Kuhisi Ganzi
๐ŸŒฟ Maumivu ya Shingo, Kiuno
๐ŸŒฟ Kukosa Uteute kwenye Magoti
๐ŸŒฟ Kushindwa Kutembea n.k

๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” (๐—ข๐—˜๐—ง๐—˜๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—ฆ๐—œ๐—ฆ) ๐Ÿ‘‡
โœ๏ธ Magonjwa ya figo.
โœ๏ธ Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye (Menopause) kikomo cha hedhi
โœ๏ธ Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
โœ๏ธ Anorexia uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoezi kupita kiasi.

๐—”๐—ง๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—œ๐—ข ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ€ Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
๐Ÿ€ Kupinda Mgongo wakati wa Uzeeni
๐Ÿ€ Maumivu makali ya Mifupa hasa Katika uti wa mgongo, Mabegani, Kifuani na katika Nyonga.
๐Ÿ€ Ulemavu wa Kudumu
๐Ÿ€ Kupata Tatizo la Kiharusi (Stroke)
๐Ÿ€ Kifo ๐Ÿ˜ฅ

๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ

โ˜Ž๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 0710 262 811 au 0759212263

TAMBUA MAANA,CHANZO NA MADHARA YA MOYO KUPANUKA  AU MOYO  KUWA MKUBWA NA DR.ANTPER'S UFAFANUZI HALISINi hali inayosababi...
27/06/2025

TAMBUA MAANA,CHANZO NA MADHARA YA MOYO KUPANUKA AU MOYO KUWA MKUBWA NA DR.ANTPER'S

UFAFANUZI HALISI
Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na kuelekea sehemu mbalimbali za mwili.

CHANZO CHA MOYO KUTANUKA
Moyo kupanuka kutokana na kutokana na mazingira ya kusukuma damu kwa nguvu ya ziada tofauti na kawaida, hivyo kusababisha misuli ya moyo kuharibika. Wakati mwingine moyo hutanuka bila sababu zinazojulikana moja kwa moja. Pia, wakati mwingine moyo unaweza kutanuka kwa kipindi kifupi kutokana na mgandamizo kwenye mwili wako mfano ujauzito.

Hali nyingine ni tatizo la moyo ulilozaliwa nalo, kuharibika kwa moyo kutokana na mshtuko wa moyo, kudhoofu kwa misuli ya moyo au moyo kutodunda kwa mpangilio. Mazingira hayo huweza kusababisha moyo kutanuka.

SABABU ZA KIAFYA ZINAZOPELEKEA MOYO KUTANUKA
Kupanda kwa shinikizo la damu. Hali hii husababisha moyo kusukuma damu kwa nguvu zaidi ili kuifikisha sehemu mbalimbali za mwili. Hali inayosababisha misuli ya moyo kutanuka na kuwa minene hivyo kufanya moyo kuongezeka ukubwa.

Kupanda kwa shinikizo la damu kunaweza kusababisha ventrikali ya kushoto kupanuka na kufanya misuli ya moyo kudhoofika. Shinikizo la juu la damu pia hufanya sehemu ya juu ya moyo kutanuka.

Ugonjwa wa misuli ya moyo Ugonjwa huu husababisha misuli ya moyo kukak**aa na kusababisha moyo kujaribu kusukuma damu kwa nguvu zaidi kitu kinachoweza kusababisha moyo kutanuka.

Kupanda kwa shinikizo la damu kwenye mshipa wa damu unaounganisha moyo na mapafu Hali hii hujulikana kitaalamu k**a Pulmonary Hypertension. Hii husababisha moyo kusukuma damu kwa taabu kwenda na kutoka kwenye mapafu ambako huwekewa hewa ya oksijeni.

Hali hii husababisha upande wa kulia wa moyo kutanuka au kuwa mkubwa.

Kuwapo maji kuzunguka moyo Maji kukusanyika kwenye mfuko unaobeba moyo, huweza kusababisha kuonekana mkubwa hasa baada ya kupiga picha ya x-ray.

Upungufu wa damu mwilini Kuwa na kiwango cha chini cha chembe hai nyekundu za damu hufanya ubebaji mdogo wa oksijeni kwenda sehemu mbalimbali za mwili, husababisha moyo kutumia nguvu nyingi kusukuma damu kwa haraka ili kuweza kusambaza oksijeni ndogo kwa haraka itosheleze mahitaji.

Kusukuma huko kwa haraka husababisha moyo kutanuka au kuwa mkubwa.

Matatizo ya tezi. Ikiwa tezi zinatoa homoni kwa kiwango kikubwa au kidogo, husababisha matatizo ya moyo yanayojumuisha utanuke na kuwa mkubwa.

Kuwapo kwa wingi wa madini chuma mwilini

Hali hutokea pale mwili unashindwa kutumia madini ya chuma vizuri. Hali hiyo husababisha madini haya kujijenga kwenye ogani mbalimbali za mwili, ikiwa ni pamoja na moyo.

Kuwapo kwa madini chuma kwenye moyo husababisha kutanuka kwa ventrikali ya kushoto na kuwa sababu ya kudhoofu kwa misuli ya moyo.

Magonjwa ya moyo k**a Amyloidosis

Ugonjwa huu hutokana na protini isiyo ya kawaida inapozunguka kwenye damu. Protini hiyo ikifika kwenye moyo huweza kuziba baadhi ya mirija hivyo kuingilia utendaji wa kawaida wa moyo na kufanya moyo kutanuka.

DALILI ZA MOYO KUTANUKA
Moyo kutanuka huonekana kwa picha ya X-ray ya kifua ingawa vipimo vingine vinahitajika ili kubaini ni nini kinasababisha moyo kutanuka.

Baadhi ya watu wenye moyo mkubwa hawana dalili za moja kwa moja, ingawa wengi hupata dalili k**a kupumua kwa tabu, mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida, kujaa au kuvimba kwa mwili hasa miguu, wakati mwingine vidole kufa ganzi na kukak**aa.

Dalili nyingine ni kifua kubana au kuuma, kupata kizunguzungu, kuhisi hali ya mwili kunyongโ€™onyea au kutokuwa na nguvu, kupoteza fahamu na kuzimia.

Moyo kutanuka ni hali ambayo inayoweza kutibiwa kwa urahisi ikiwa itagundulika mapema. Hivyo ni vyema kutafuta msaada wa kitabibu ikiwa unapata dalili za matatizo ya moyo.

MATIBABU YAKE
Matibabu ya moyo mkubwa yanaweza kuhusisha matumizi ya dawa, kubadili mfumo wa maisha na wakati mwingine upasuaji. Mara nyingi moyo ukipanuka husababisha baadhi ya sehemu kwenye misuli ya moyo kutokufikiwa na damu, hivyo kusababisha tundu kwenye moyo au kidonda cha moyo na baadaye kupooza.

JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA MOYO KUPANUKA AU KUWA MKUBWA
Kuepuka ulaji wa nyama kwa wingi, hasa ile nyekundu, kupunguza matumizi makubwa mayai na maziwa kupindukia.

Pia kupunguza matumizi ya vyakula vya kusindikwa, epuka mafuta yatokanayo Na wanyama.
Kwa ushauri na TIBA PIGA 0710 262 81 /0759212263

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa Na Maungio bila upasuaji*Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa ...
17/06/2025

Njia Rahisi Ya Kutokomeza Maumivu Ya Mifupa Na Maungio bila upasuaji*

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu.

Mbaya Zaidi limewaondolea watu ule uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi.

Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili usipolitibu mapema linaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari Nzuri kwako.

Nimekuandalia Tiba Maalum kwa Bei nafuu itakayokuwezesha kutatua changamoto yako pasipo upasuji.
Ukiwa na changamoto wasiliana nasi Kwa
Sms
Whsp
Piga๐Ÿ“ž
Wa.me/255710262811

**Pata Suluhisho la Presha kwa Njia Salama**Je, unakabiliwa na changamoto za kisukari au presha? Tunatoa suluhisho madhu...
17/06/2025

**Pata Suluhisho la Presha kwa Njia Salama**

Je, unakabiliwa na changamoto za kisukari au presha? Tunatoa suluhisho madhubuti kwa kutumia tiba asilia na ushauri wa kitaalamu. Njia zetu ni salama na zenye madhara machache, zinalenga kuboresha afya yako kwa ufanisi na kudumu.

Manufaa ya tiba zetu ni pamoja na:
- Kupunguza viwango vya sukari mwilini.
- Kudhibiti presha kwa njia ya asili.
- Kuboresha afya ya moyo na mishipa ya damu.
- Kuimarisha kinga ya mwili.

**Madhara machache yanaweza kujumuisha:**
- Maumivu ya tumbo kwa muda mfupi.
- Mabadiliko madogo ya mwili wakati wa kuanza tiba.

Usikubali kisukari au presha zikulemee. Tunakuhakikishia huduma bora na za kuaminika.

**Afya yako ni kipaumbele chetu!**. Wasiliana kwa njia ya kawaida na whatsapp wa.me/255710262811

Address

Kariokoo Gerezani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pauline Antper's millimo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share