21/06/2026
Mwisho wa Migogoro ya Umeme Kwenye Nyumba za Kupanga! -
55
Tatizo kubwa kwenye nyumba nyingi za kupanga ni kutumia LUKU moja, halafu kila mpangaji anatakiwa kuchangia hela sawa, bila kuangalia nani anatumia umeme mwingi.
Ndiyo maana kuna malalamiko kila siku:
"Mimi natumia taa na TV tu, kwa nini nilipe sawa na mwenye jiko la umeme?"
"Mbona umeme unaisha kila siku?"
"Kuna mtu anaiba umeme hapa!"
Migogoro hii imechosha sana.
Lakini sasa... suluhisho rasmi limewasili!せ
SUBMETER MPYA YA KISASA
Kwa kila mpangaji, umeme wake - maisha yake!
Tunakuwekea submeter maalumu kwa kila chumba/mpangaji bila kubadili
mfumo wa TANESCO.
Kila mtu ananunua umeme wake moja kwa moja kupitia ile LUKU ile ile lakini unatumika kwenye chumba chake pekee.
Hii inamaanisha:
Hakuna kuchangishana tena
Hakuna ugomvi wa matumizi yasiyoendana
Hakuna mtu kutumia umeme wa mwenzake
Umeme ukiisha kwako, unakufa kwako tu - si kwa majirani!
Wengine wanaendelea na maisha yao bila kuguswa
Faida Kubwa za Submeter Yetu (Tofauti na za kawaida)
1 Inakata umeme wa chumba husika tu Unamaliza umeme? Ni kwako pekee.
Nyingine bado zinawaka!
(Submeter za zamani zinakata nyumba yote yetu haiharibu amani!)
2 Inazuia kabisa matumizi ya udanganyifu
Hakuna mtu anayeweza kuunganisha matumizi yake kwako.
Kila kitu kinaonekana kifaa kwa kifaa.
3 Inakupa uhuru na usalama wa haki
Matumizi yako unayajua.
Umeme unauamua.
Huna presha ya "tuchangishane."
Kwa nini watu wanatuchagua?
★Utaalamu wa kitaalamu - kazi safi, wiring nadhifu, vifaa vya kisasa
★Huduma za haraka ndani ya Dar es Salaam na maeneo ya karibu
★Wateja wetu wakiridhika, wanatuletea wengine - sisi hatujisifii, kazi inajisifu
Tanzanite Electrical Solution imekuwa kimbilio la wenye nyumba na wapangaji wanaotaka amani + usawa + uhuru wa matumizi.
**Unayo nyumba ya kupanga?
Uko kwenye mgogoro wa umeme?
Au unataka tu mfumo wa haki nyumbani kwako?**
0686198578 WhatsApp
0624208189 call
0689289805 sms