15/06/2026
Je unafanya baishara ya simu ndogo (viswaswaduuuuuu)?
Au unampango wa kuanza kufanya biashara hii?
Nisikikilize kwa makini, ikiwa utapata eneo zuri lenye mzunguko wa watu basi biashara hii ni nzuri mno. Nibiashara inayo jiuza bila kufanya matangazo, watu wananunua viswaswaduuuuuu kila siku kwasababu si vya gharama.
Sisi Waziri Mobile tuko hapa kukusimamia kuhakikisha biashara hii inakupa faida, kwanza tutakuhuzia kwa bei ya jumla ambayo ukienda sokoni kwako lazma ikupe faida.
Tuna zaidi ya aina 30+ ya viswaswaduuuuuu (nokia, sumsang, tecno, itel, o king, Philip, bontel , nk.)
Wasiliana nasi kupitia 0675524197
K**a uko mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Karibu sana