04/03/2026
Kwenye simu za Redmi (MIUI au HyperOS), unaweza kutumia Dual Apps kuendesha app moja mara mbili (mfano WhatsApp mbili).
π± Jinsi ya Kuweka Dual App
Fungua Settings (Mipangilio)
Nenda Apps
Chagua Dual Apps
Orodha ya apps itatokea
Washa (toggle ON) app unayotaka kurudia, mfano:
WhatsApp
Facebook
Instagram
TikTok
Baada ya kuwasha, utaona icon ya pili ya app hiyo ikiwa na alama ndogo (k**a duara au 2).
------------------------------
Kwa Redmi kali zaidi karibu boss, simu zote ni Orgii warranty ya miaka 2 π₯, Delivery tunafanya Dar na mikoani.Tupo CHINA PLAZA FLOOR NO.3 CHUMBA 322.
β
Redmi A5
(6GB + 64GB) β 193,000/=
(8GB + 128GB) β 229,000/=
β
Redmi 15C
(8GB + 128GB) β 270,000/=
(16GB + 256GB) β 340,000/=
β
Redmi 15
Ya 4G (16GB + 256GB) β 470,000/=
Ya 5G (16GB + 256GB) β 500,000/=
β
Redmi Note 15 (4G)
(12GB + 128GB) β 540,000/=
(16GB + 256GB) β 630,000/=
π₯Redmi Note 14 Pro
Ya 4G (16GB + 256GB) β 790,000/=
Ya 5G (16GB+256GB) -- 880,000/=
π₯ Redmi Note 15 Pro+ (5G)
(16GB + 256GB) β 1,080,000/=
(24GB + 512GB) β 1,150,000/=
π XIAOMI 15T Series (5G)
β’ 15T (24GB + 256GB) β 1,290,000/=
β’ 15T (24GB + 512GB) β 1,400,000/=
β’ 15T Pro ( 24GB + 512GB) β 1,800,000/=
π China Plaza β Floor 3, Room 322
π Call / WhatsApp: 0670 889 399