08/06/2026
Umeme sio shida zetu, hii hapa ANDA inch 21 ambayo inamfumo wa kutumia umeme wa jua (solar) pamoja na mfumo wa umeme wa kawaida ( tanesco),karibu ujipatie Tv hii kwa gharama nafuu lakini yenye ubora wa hali ya juu ikiwa na Full HD. TUNAPATIKANA NCHI NZIMA.