Ifixit_Tanzania

Ifixit_Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ifixit_Tanzania, kijitonyama, Dar es Salam.

24/06/2026

Asante sana mteja wetu wa Kaliua, Tabora kwa kununua Lenovo 11e kwa TSh 280,000. Furaha yetu imeongezeka zaidi baada ya kutupatia mteja mwingine. Asante kwa kuamini IFIXIT TZ! πŸ™πŸ’™

Unaweza pia kuagiza 0767075377 au ufike dukani makumbusho complex duka namba 13a

22/06/2026

Asanteni wateja wetu wote kuto mikoa yote Tanzania

USIPITE BILA KUONA HII! Watu wengi wanahangaika kutafuta laptop ya bei nafuu lakini yenye uwezo mkubwa wa kazi za kila s...
18/06/2026

USIPITE BILA KUONA HII!

Watu wengi wanahangaika kutafuta laptop ya bei nafuu lakini yenye uwezo mkubwa wa kazi za kila siku. Sasa suluhisho lipo! πŸ‘‡

πŸ’» DELL 3190 2-IN-1 TOUCHSCREEN
✨ Inatumika k**a Laptop na Tablet
⚑ RAM 4GB
⚑ SSD 200GB
⚑ Betri ya muda mrefu
⚑ Nyepesi na rahisi kubeba
⚑ Inafaa kwa masomo, biashara, Zoom, browsing na matumizi ya ofisini

πŸ’°380,000

πŸ”₯ K**a bado unatumia laptop inayokwama kila dakika, huu ndiyo muda wa kubadilisha!

βœ… Touchscreen ya kisasa
βœ… Muonekano mzuri wa kuvutia
βœ… Kasi nzuri kutokana na SSD
βœ… Bei rafiki kuliko unavyofikiria

πŸ“ IFIXIT TZ – Makumbusho Complex, Duka Na. 13A
πŸ“ž 0767 075 377

🚚 Tunatuma Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania kwa uhakika.
Mteja wa mkoani hulipa usafirishaji TSh 20,000 tu.

πŸ“© Andika β€œDELL” kwenye comment au inbox tukupe bei na picha zaidi.

USINUNUE LAPTOP KABLA HUJAIANGALIA HII! πŸ”₯πŸ’» LENOVO E570 – Screen Kubwa 15.6β€βœ… RAM 8GBβœ… HDD 500GBβœ… Imara kwa kazi, biashar...
18/06/2026

USINUNUE LAPTOP KABLA HUJAIANGALIA HII! πŸ”₯

πŸ’» LENOVO E570 – Screen Kubwa 15.6”

βœ… RAM 8GB
βœ… HDD 500GB
βœ… Imara kwa kazi, biashara, masomo na matumizi ya kila siku
βœ… Betri nzuri
βœ… Muonekano safi na performance ya kuaminika

πŸ’₯ Core i5 β€” TSh 480,000 tu
πŸš€ Core i7 β€” TSh 550,000 tu

Kwa nini ulipe zaidi wakati unaweza kupata laptop yenye uwezo mkubwa kwa bei nafuu?

πŸ“ IFIXIT TZ
Makumbusho Complex, Duka Na. 13A

πŸ“ž 0767075377

🚚 Delivery Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania kwa uhakika.
πŸ“¦ Ukiwa mkoani, tunatuma kwa gharama ya TSh 20,000 tu.

⚠️ Stock ni chache! Wahi kuwasiliana nasi kabla hazijaisha.

Unahitaji laptop nzuri kwa bei nafuu?Inayoweza kufanya kazi za kiofisi, shule , kuhifadhi data bila tatizoHii hapa lenov...
18/06/2026

Unahitaji laptop nzuri kwa bei nafuu?
Inayoweza kufanya kazi za kiofisi, shule , kuhifadhi data bila tatizo

Hii hapa lenovo thinkpad 11e

Ram 4GB
Ssd 128GB
Intel pentium
1.86Ghz

Bei nafuu: 280,000 tu

Tupigie: 0767075377

Tupo makumbusho complex duka namba 13a

18/06/2026

Dell 7280 mtambo wa kazi

Laptop yenye features za kisasa kwa bei ya kawaida

18/06/2026

Hii hapa ni option nzuri ya Tv

18/06/2026

Hp probook 11ee g2 Red

Laptop nzuri sana yenye rangi ya kipekee
Ram: 4GB
Storage: 128GB ssd
Touchscreen
Inarotate 360
Betri nzuri inakaa na chaji mpaka masaa 4

Warantii mwaka mmoja

Bei: 350,000 fixed

Tupigie kwa namba 0767075377 kuagiza

Mambo muhimu kuyafahamu kabla hujanunua laptop!
12/06/2026

Mambo muhimu kuyafahamu kabla hujanunua laptop!

Tofauti kati ya core i3,i5 na i7
11/06/2026

Tofauti kati ya core i3,i5 na i7

Address

Kijitonyama
Dar Es Salam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ifixit_Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share