Ev:BARAKA Kaminyoge

Ev:BARAKA Kaminyoge NGUVU YA USHINDI NDANI YA KRISTO YESU.

20/09/2025

MUSOMA TANZANIA GOSPEL CHURCH

20/09/2025

MOROGORO FPCT-MALINYI

20/09/2025

MWANZA FPCT-SENGEREMA

20/09/2025
1 Wakorintho 2:4 Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za watu, bali kwa...
15/02/2025

1 Wakorintho 2:4 Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za watu, bali kwa dalili za Roho na za nguvu,

5 ili imani yenu isiwe katika hekima ya wanadamu, bali katika nguvu za Mungu.

*MAHALI PARAHA YANGU* Mika 2:10Ondokeni, mwende zenu; maana hapa sipo mahali pa raha yenu;
22/12/2024

*MAHALI PARAHA YANGU*

Mika 2:10
Ondokeni, mwende zenu; maana hapa sipo mahali pa raha yenu;

*HATA SASA HAYA YANAWEZAKANA*Matendo ya Mitume 19:11 Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;12 hat...
18/12/2024

*HATA SASA HAYA YANAWEZAKANA*
Matendo ya Mitume 19:11
Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;

12 hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.

*HATA SASA HAYA YAWEZAKANA KIZAZI HIKI HIKI KABLA YESU HAJARUDI*
Matendo ya Mitume 14:8
Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamaye, ambaye hajaenda kabisa.

9 Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena; ambaye akamkazia macho na kuona ya kuwa ana imani ya kuponywa,

10 akasema kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawasawa. Akasimama upesi akaenda.

11 Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, Miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu.

14 Walakini mitume Barnaba na Paulo, walipopata habari, wakararua nguo zao, wakaenda mbio wakaingia katika makutano, wakipiga kelele,

15 wakisema, Akina bwana, mbona mnafanya haya? Sisi nasi tu wanadamu hali moja na ninyi; twawahubiri habari njema, ili mgeuke na kuyaacha mambo haya ya ubatili na kumwelekea Mungu aliye hai, aliyeumba mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo;

16 ambaye zamani zilizopita aliwaacha mataifa yote waende katika njia zao wenyewe.

*KANISA LISILO NA MAJIBU KWA WATU LITAKUWA TUPU KWANI WATU WANAENDA PENYE MUNGU ANAYE JIBU KWA UDHIHIRISHO WA WAZIWAZI*
Mika 4:1
Lakini itakuwa katika siku za mwisho, ya kwamba mlima wa nyumba ya Bwana utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na watu wa mataifa watauendea makundi makundi.

2 Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa Bwana, na nyumbani kwa Mungu wa Yakobo; naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake; kwa maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la Bwana litatoka Yerusalemu.

21/10/2024

MLANGO MKUBWA WA KUFAA SANA LAKINI WAPO WENGI WAKUPINGAO

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Editha Mwaibindi, Mwenda Lukige Lukige, Marry Mack, Lameck Kamata
02/10/2024

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Editha Mwaibindi, Mwenda Lukige Lukige, Marry Mack, Lameck Kamata

Address

Dodoma

Telephone

+255758431829

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev:BARAKA Kaminyoge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ev:BARAKA Kaminyoge:

Share

Category