Mustapha HEB Foundation Tanzania

Mustapha HEB Foundation Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mustapha HEB Foundation Tanzania, kariakoo, Dar es Salaam.

MUSTAPHA HEB FOUNDATION
is a Non-government Organization aimed on Health improvement, Education inspirational and awareness, Bussiness empowerment for youth and special groups.helping youth from poor families , investment and saving , employment opport.

11/03/2026

Mustapha HEB foundation ni TAASISI isiyo ya kiserikali ambayo imeaanzishwa kwa lengo la kuinua jamiii kupitia elimu, Afya na ujasiliamali ili kuleta tumaini kwa jamiii za kimasikini na watu waliokata tamaa kwasababu ya ugumu wa maisha , hasa Maeneo ya vijijini
Foundation hii imelenga
1. Kutoa elimu kwa jamii juu ya afya, kupitia mikutano ya kijamii, semina mbalimbali pamoja na usambazaji wa vitabu maaalumu kuhusu masuala ya afya ili kuimarisha afya ya JAMIII hasa Maeneo ya vijijini kwani afya ni kitu muhimu Sana katika kuimarisha Nguvu kazi ya wanajamiii kwa maendeleo ya ndani na taifa kwa ujumla
2. Foundation hii imelenga kuinua umelewa.na mwamko wa elimu katika jamiii hasa Maeneo ya vijijini na jamii za kimasikini ambazo zimekata tamaa na kushindwa kiwawezeaha watoto wao kuendelea na masomo pengine kulingana na kukosa uelewa, kukosa mahitaji au ugumu wa maisha, TAASISI hii imelenga kuzofikka jamiii kupitia mikutano, semina mashuleni ,pamoja na usambazaji wa vitabu maaalumu kuhusu umuhimu wa elimu kwa watoto . Pia kutoa misaada ya kiwawezesha watoto kutoka katika jamiii za kimasikini ili waweze kuendelea na masomo Yao na kutimiza ndoto zao, ikiwemo kuanzisha miradi ya maendeleo ya JAMIII, shule za awali vijijini, ujenzi wa mabweni, na kuanzisha vyuo vya tuition
3. TAASISI hii imelenga kuwainua vijana kupitia biashara ili waweze kujiinua kiuchumi, kuwaa elimu juuu na namna ya kujikwamua.kimaosha na kuepuka utegemezi, kuwapa misaada ya kiwawezesha kuanzisha miradi kwa riba , kuajiri vijana katika biashara ndogondogo, kuwajemgea uwezo wa kujiajiri kupitia viwanda vidogovidogo k**a vile utange.ezaji wa sabuni, ufuganji, na kilimo Cha umwagiliaji
4.Aidha , TAASISI hii imelenga kumulika.jicho la 3 kwa jamiii zisizojoweza na familia zinazoishi katika mazingira magumu ya kimasikini na ugumu wa maisha. Watu wenye uhitaki maalumu, wakiwemo yatima pamoja na magroup MENGINE
TAASISI hii inashirikiana na TAASISI za kiserikali kwa kiwasilisha proposals zitakazopewa kipaumbele kwa lengo la kuinua jamiii zetu na maendeleo ya taifa kwa ujumla
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Fedha
Wizara ya Kilimo
Mustapha HEB foundation,
power of the community@
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธ

02/12/2025

The commitment of our foundation will always change lives of those in needs
Saving the community , poor families , enabling children from poor family to meets their basic needs and to empower them to become different and bring changes to their future lives
Supporting vurnarable groups , orphans ,and those in needs
Supporting school requirements
Rural pre and primary schools initiation to bring education awareness to the villages and poor communities
Providing empowerment to save those need support to meet their goals
Health awareness and education
Bussiness initiatives and investments
Mustapha HEB Foundation Tanzania
THE POWER OF THE COMMUNITY
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Much conguraturations kaka kwa kutimiza hatua hii muhimu , na kubwa katika maisha yako. Let's God bless you with your fa...
17/11/2025

Much conguraturations kaka kwa kutimiza hatua hii muhimu , na kubwa katika maisha yako. Let's God bless you with your family. Ikawe ni familia iliyobarikiwa na yenye baraka tele pamoja na mafanikio. See you at the top๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช. God bless you and all the best๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

09/11/2025

Football halls managers . What make your " Banda umiza " be unique like to inspire customers??
Any thought
Mustapha HEB Foundation Tanzania
THE POWER OF THE COMMUNITY

ABOUT MUSTAPHA HEB FOUNDATIONMUSTAPHA HEB FOUNDATION- TANZANIA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ                                                        ...
27/10/2025

ABOUT MUSTAPHA HEB FOUNDATION
MUSTAPHA HEB FOUNDATION- TANZANIA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

It is a non -governmental organization established by its owner Mustapha Misungwi Jimondogwe in 2025 with the purpose of raising young people through the Department of Health, Education and Entrepreneurship (Business)

The institution focuses on raising young people, especially those who come from vulnerable and poor families, and the institution is committed to restoring hope especially for desperate young people as well as increasing education in society

The institution has made it clear by focusing on the principles of education, health and entrepreneurship or business which are the main foundations and the main root of human life in the process of getting rid of life.

The institute recognizes the presence of many challenges for many young people on the streets in the labor market. Mustapha Heb Foundation is also focused on the provision of small business jobs to reduce the problem of employment in the country and other countries in East and Central Africa

The institution has also carried hope to needy people through various groups including orphans, the disabled, the elderly, the disabled, the poor families and the widows

The Institute is also focused on educating the community on community health through conferences, seminars, as well as the distribution of copies of various books and health education in protecting community health including education on awareness of diseases and its causes, effective ways of preventing disease, drug effects, good care, reproductive health, health, health,

In addition, the Institute is focused on empowering young people who come from vulnerable by educating them and providing them with their needs to help them achieve their goals through education.

In partnership with the Government through the education sector, the Institute is focused on developing specialized books in enabling students in schools to identify themselves, knowing the right reading techniques, the methods of responding to exams, the correct way and how to achieve all secondary schools, the techniques of being a better

MUSTAPHA HEB FOUNDATION                             Ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na mmiliki wake MUSTAPH...
05/09/2025

MUSTAPHA HEB FOUNDATION
Ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na mmiliki wake MUSTAPHA MISUNGWI JIMONDOGWE mnamo mwaka 2025 ikiwa na dhumuni la kuwainua vijana kupitia idara ya afya, elimu na ujasiliamali(biashara)

Taasisi hii inalenga zaidi katika kuwainua vijana hasa wale wanaotokea katika mazingira magumu na familia za kimasikini, aidha taasisi hii imedhamilia katika kurudisha matumaini hasa kwa vijana waliokata tamaa pamoja na kuongeza mwamko wa elimu katika jamii

Taasisi hii imeainisha wazi kwa kujikita katika misingi ya Elimu, Afya Pmoja na Ujasiliamali au biashara ambayo ndiyo misingi mikuu na mzizi mkuu wa maisha ya mwanadamu katika kuelekea kujikwamua kimaisha.

Taasisi hii inatambua uwepo wa changamoto nyingi kwa vijana walio wengi mitaani katika soko la ajira. MUSTAPHA HEB FOUNDATION imejikita pia katika utoaji wa ajira ndogondogo katika biashara ili kupunguza tatizo la ajira inchini paoja na inchi zingine za afrika mashariki na kati

Taasisi hii imebeba matumaini pia kwa watu wenye uhitaji kupitia makundi mbalimbali wakiwemo yatima, wasiojiweza, wazee, walemavu, familia masikini pamoja na wajane

Taasisi hii imelenga pia katika kuelimisha jamii juu ya afya ya jamii kupitia mikutano, semina mbalimbali,pamoja na usambazaji wa nakala za vitabu mbalimbalivinavyotoa elimu juu ya afya katika kulinda afya ya jamii ikiwemo elimu juu ya uelewa wa magonjwa na visababishi vyake, njia bora za kujikinga na magonjwa, madhara ya madawa ya kulevya, malezi bora katika jamii, afya ya uzazi,ulaji ufaao afya, pamoja na kubadili mitindo ya maisha ili kulinda afya zao kimwili, kiakili/kisaikolojia pamoja na kiroho

Aidha taasisi hii imelenga kuwawezesha vijana hasa wanaotoka katika mazingira magumu kwa kuwasomesha na kuwapatia mahitaji yao ili kuwasaidia kutimiza malengo yao kupitia elimu.

Kwa kushirikiana na serikali kupitia sekta ya Elimu, taasisi hii imelenga kuandaa vitabu maalumu katika kuwawezesha wanafunzi mashuleni kujitambua, kujua mbinu sahihi za usomaji, mbinu za ujibuji mitihani,, namna sahihi na jinsi ya kufaulu masomo yote ya sekondari, mbinu za kuwa mwanafunzi bora shuleni. Na miongozo yote ya usomaji na namna ya ujibuji wa maswali katika somo husika.

Aidha katika kulitekeleza hili, taasisi hii itatoa semina kwa wanafunzi katika mashule kwa kuwaelimisha na kuwafundisha juu ya umuhimu wa elimu na kisha kuwapatia vitabu vya miongozo yote, hasa katika shule za kata na shule zote zilizopo vijijini ambako mwamuko wa elimu bado ni kidogo.

Taasisi hii pia imelenga katika kuandaa miradi mbalimbali ya kibiashara itakayowezesha kupunguza tatizo la ajira inchini kwa kuajiri vijana zaidi ya 200 kila mwaka kupitia biashara na miradi mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji,bustani, ufundi pamoja na mengineyo

Taasisi hii imelenga kufungua na kuanzisha miradi mbalimbali ya kibiashara katika kuajiri vijana ikiwemo maduka, stationary, studio/library, kumbi za mpira na mikutano, maduka ya madawa, vituo vya kuchoma chipsi, kumbi za starehe k**a vile baa, hoteli, migahahawa na cafeteria, vituo vya kutengeneza juice za matunda na juice ya muwa, nyama choma, maduka ya vinywaji, maduka ya nafaka na bidhaa za sokoni, maduka ya aina zote, ufundi seremala, ufundi cherehani, saloon za k**e, maduka ya vitabu na maktaba ya kisasa pamoja na computer lab, mitambo ya bustani za mbogamboga na matunda pamoja na mazao mengine, ufugaji wa ngโ€ombe wa kisasa wa maziwa, kuku wa mayai pamoja na viwanda vingine vidogovidogo vya kuteneneza sabuni na kufuga samaki.

WELLCOME Mustapha HEB Foundation
SUPPORT YAKO NDIYO MAFANIKIO YA TAASISI HII
Mawasiliano
Manager: 0766232427

30/07/2025

Welcome Mustapha HEB FOUNDATION
Follow our page to enjoy our services

*BRAND*: Dell*MODEL*: Dell 3190*SPECIFICATIONS*: 4gb ram, 128gb SSD, non touch, Intel pentium*Price*: ๐Ÿ”ฅ270000Touch scree...
06/05/2025

*BRAND*: Dell
*MODEL*: Dell 3190
*SPECIFICATIONS*: 4gb ram, 128gb SSD, non touch, Intel pentium
*Price*: ๐Ÿ”ฅ270000
Touch screen ๐Ÿ”ฅ350000

Direct call ๐Ÿ“žโ˜Ž๏ธ 0766232427

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
MUSTAPHAELECTRONICS WITH NIZAR ELECTRONICS SUPPLIER

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mustapha HEB Foundation Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mustapha HEB Foundation Tanzania:

Share