20/06/2026
What if kesho uamke asubuhi ukifika kazini ukute mlango umefungwa na kibao kimeandikwa "VACANT FOR RENT"?
Watu wengi huishi wakiamini kazi zao zitakuwepo milele. Lakini kampuni zinafungwa, biashara zinaanguka, na mambo hubadilika bila warning.
Ndiyo maana ni hatari kuweka matumaini yako yote kwenye mshahara mmoja. Jifunze ujuzi mpya, tengeneza chanzo kingine cha kipato, na ujenge kitu ambacho hakiwezi kutoweka kwa siku moja.
Job ni muhimu, lakini isiwe ndiyo plan yako yote ya maisha.
Maana wakati mwingine hupotezi kazi yako... unakuta kazi yenyewe ndiyo imepotea.
Una maoni gani kuhusu hili?