11/10/2022
Zaburi 150
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
² Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
@ehc_vijana