07/02/2024
MATATIZO 5 YANAYOIKUMBA SAMART PHONE.
1. KIOO- Sehemu kubwa ya smartphone imetawaliwa na kioo kitu ambacho ni rahisi kupata uharibifu. Smartphone ikifa kioo mambo haya huweza kutokea
a) simu kuacha kutachi au kutachi kwa kuruka ruka
b) Simu kutoonesha kitu chochote
C) kioo kupoteza mwanga wake asilia au kupoteza rangi yake.
D) Simu kuweka rangi ya blue au nyeusi lakini unasikia simu ikiita au kutoa mlio wa kutachi wakati hakuna unachoona.
2. MFUNIKO
mfuniko wa nyuma ya simu unaweza kupasuka au kuchakaa na kuleta muonekano mbaya kwenye simu au mfuniko kupoteza control nobe za kuwashia na za kupunguza na kuongeza sauti.
3. CHARGING SYSTEM
smartphone ikifa charginging sytem yafuatayo hutokea Simu kuonyesha inacharge lakini asilimia haziongezeki Simu kutocharge kabisa wala kutoonesha alama ya charge. Simu kucharge na kutojaza asilimia mia k**a kawaida. Simu kupata moto makali wakati wa kuchaji. Simu kuleta question mark au alert nyingine ikiwa kwenye charge. Simu kuzima ikiwa imechomwekwa charge.
4. WATER DAMAGE
hii hupelekea smartphone kuzima au kuua baadhi ya mifumo k**a vile sauti na network.
5. PASSWORD AND LOCKS
mara nyingine simu inaweza ikajifunga yenyewe au ikasahaurika password na mtumiaji kushindwa kufungua au matatizo mengine ambayo yakahitaji SOFTWARE.
Tunatatua matatizo yote ya Simu pamoja na kutoa ushauri bure kwa mambo yanayohusiana na simu.
Karibuni sana tupo kariakoo mataa ya uhuru jengo la infinix. Na tunapatikana kwa simu 0763136341.