07/09/2025
Je, bado unahangaika kusimamia biashara yakoβ
π Bidhaa kuisha bila taarifa,
π Ripoti kuchelewa,
π© Hasara zisizoelezeka...
π SAINCRAFT TECHNOLOGIES inakuletea suluhisho bora kabisa β Inventory Management System π₯οΈπ
Kwa mfumo huu, unaweza:
β¨ Kusimamia bidhaa na stock zako kwa urahisi
β¨ Kupata ripoti sahihi kwa wakati halisi
β¨ Kufuatilia mauzo na manunuzi yako popote ulipo
β¨ Kuwa na watumiaji wengi kwa viwango tofauti (Admin, Cashier, Store Manager)
β¨ Kufanya kazi online na offline
β¨ Kufurahia muonekano mzuri wenye Dark & Light Mode
β
Usipoteze muda na changamoto zisizo na ulazima β badilisha biashara yako leo na mfumo huu wa kisasa.